Padri James akiongoza sala ya pasaka mbele ya waumini wa jumuiya ya Watanzania waishio New York, Baada ya Sala waliamia ndani ya ukumbi wa kanisa kwa ajili ya kupata chakula na vinywaji baridi pamoja na familia zao.
Waumini wakiwa kanisani wakimsikiliza Padri James wakati wa sala ya Pasaka, Padri James aliongoza sala kwa lugha ya kiswahili.
Baada ya sala chakula kilifata kama unavyoona.
1 comment:
It was marvelous as I can see from the pictures.AMEFUFUKA KWELI KWELI ALIVYOSEMA ALELUYA.
Post a Comment