ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 2, 2018

TASWIRA YA SALA YA PASAKA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY JITIRIRISHE HAPA CHINI.


Padri James akiongoza sala ya pasaka mbele ya waumini wa jumuiya ya Watanzania waishio New York, Baada ya Sala waliamia ndani ya ukumbi wa kanisa kwa ajili ya kupata chakula na vinywaji baridi pamoja na familia zao.

Waumini wakiwa kanisani wakimsikiliza Padri James wakati wa sala ya Pasaka, Padri James aliongoza sala kwa lugha ya kiswahili.

Baada ya sala chakula kilifata kama unavyoona.

Vinywaji baridi navyo vilipatikana kwa wingi tu, kwa taswira zaidi ingia chini.

1 comment:

Jo song said...

It was marvelous as I can see from the pictures.AMEFUFUKA KWELI KWELI ALIVYOSEMA ALELUYA.