Advertisements

Friday, May 4, 2018

IDDY MKWERA NA RAMADHANI SHAURI WAPIMA UZITO KWA KUZIPIGA KESHO TAIFA

Bondia Idd Mkwera akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa mei 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa kushoto ni mpinzani wake Ramadhani Shauri 
Promota wa mchezo wa ngumi Evalist Ernest katiakati akiwainua mikono juu bondia Ramadhani Shauri kushoto na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Ijumaa mei 4 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa

No comments: