Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF), Dk. Tausi Kida (kulia),
wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa taasisi hiyo ambapo mada mbalimbali
zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa.Katikati ni Balozi wa Sweden nchini
Tanzania, Katarina Rangnitt. Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF), Dk. Tausi
Kida akiongoza moja ya majadiliano wakati wa
Mkutano wa Saba wa taasisi hiyo ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji
wa uchumi ziliwasilishwa.Wengine kutoka
kulia ni Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu , Dk. Albina Chuwa na Mwakilishi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Maendeleo(UNDP), Fitsum
Abraha.Mkutano huo ulifanyika jana , jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu
wa masuala ya Uchumi, Prof. Sabina Alkire
akiwasilisha mada wakati wa
Mkutano wa masuala ya uchumi ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi
ziliwasilishwa. Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Prof. Kaushik Basu.
Gavana
Mstaafu
wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akiwasilisha mada wakati wa Mkutano wa masuala ya uchumi ambapo
mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi ziliwasilishwa. Mkutano huo
ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Prof. Joseph Stiglitz.
Mtaalamu
wa masuala ya Uchumi, Prof. Joseph Stiglitz akiwasilisha mada wakati wa Mkutano
wa masuala ya uchumi ambapo mada mbalimbali zikihusu ukuzaji wa uchumi
ziliwasilishwa. Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Kulia ni
Gavana Mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu
Mshiriki
wa Mkutano wa Saba wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii, Dk.
Charles Kitima akichangia hoja wakati wa mkutano huo ambapo masuala mbalimbali
ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo ulifanyika jana, jijini Dar es
Salaam.
Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu (CAG), Ludovick Utoh akichangia hoja wakati
wa mkutano huo ambapo masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano
huo ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.
Mshiriki wa Mkutano wa Saba wa Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na
Kijamii, Prof. Honest Ngowi akichangia hoja wakati wa mkutano huo ambapo
masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo ulifanyika jana,
jijini Dar es Salaam
Mwakilishi
wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Bella Bird akichangia hoja wakati wa mkutano
huo ambapo masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi yalijadiliwa.Mkutano huo
ulifanyika jana, jijini Dar es Salaam.Picha zote na Abubakari Akida
No comments:
Post a Comment