Advertisements

Thursday, May 3, 2018

TANZANIA DAY 2018 TOURNAMENT CUP - LABAKI DALLAS TEXAS.

KikombeTimu ya Dallas Bongo Stars wajinyakulia ubingwa wa kikombe cha Tanzania Day 2018 baada ya kuichapa GLM-Arizona bao 1 - 0. Kwenye maadhimisho ya siku ya mtanzania yaliyofanyika weekend iliyopita. Pata picha za matukio.
No comments: