Advertisements

Tuesday, May 1, 2018

TANZANIA DAY GALA - ILIVYOFANA.


Huu ndio mpango mzima mambo yalivyofana Tanzania Day last weekend jijini Dallas, Texas.

Jinsi wanamitindo walivyodondosha fashion show la ukweli, ili kupata kuzitangaza culture mbali mbali za kitanzania na makabila yake. 
Mzee Tunu Adimu kutunukiwa award ya mwanariadha bora na mzalendo aliyeliwakilisha taifa la Tanzania katika mashindano ya Olympics yaliyofanyika mwaka 1958 nchini Mexico.
Wageni na vionozi mbali mbali katika nyanja za maendelea Diaspora.
Watanzania na wageni waalikwa wakipata neno kutoka kwa viongozi.

Viongozi mbali mbali katika Diaspora wakipata ukodak kwenye red carpert.


Chef Juma akila pozi la nguvu, kuwakilisha siku ya mtanzania.


Kiongozi mwandamizi George Goshashi wa Tanzania day akipata ukodak katika red carpet.

Kiongozi mwandamizi Godfrey Ndagala na wife Edna wakipata ukodak kwenye red carpet.

Mwaka huu mambo hayakuwa ya kawaida..Kiongozi na mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Benedict Kazora akikabidhi award.
Sensei Rumadha akiwakilisha.Mzee Tunu Adimu akipokea award yake.
Vingozi Maria na Geroge waki-present award kwa watunikiwa mbali mbali walioudhuria Tanzania day 2018.
Benedict Kazora, mwenyekiti na kiongozi wa jumuiya  ya watanzania Dallas, akinena maswala muhimu ya mandeleo ya diaspora na Tanzania kwa ujumla.

Viongozi waandaji wa Tanzania Day 2018 Godfrey, Viola (Katibu) na George wakipata ukodak kwa pamoja.
Bila kuwasahau viongozi waanzamizi Pastor Emmy and Peter wakila ukodak.
 Kama mwaka huu tu - mambo yalikuwa hivi, mwakani itakuwaje!!!! USIPIME!

No comments: