Advertisements

Monday, June 4, 2018

FUTARI YA PAMOJA DMV

 Sala ya magharibi ikifanyika siku ya Jumapili June 3, 2018 kwenye futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) na kujumuisha waTanzania waishio DMV na marafiki zao,futari hufanyika kila siku za Jumamosi na Jumapili Silver Spring, Maryland na siku ya Jumamosi June 9, 2018 Balozi wa Tanzania nchiniMarekani Mhe. Wilson Masilingi atakua mgeni rasmi. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio
WaTanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika kwenye futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) siku ya Jumapili June 3, 2018 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

WanaDMV na marafiki zao wakiwa kwenye mstari wa kwenda kupata futari.

Futari ikiendelea.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi





 

 

No comments: