Advertisements

Sunday, June 3, 2018

Mahojiana kati ya TBC na DICOTA kuhusu kongamano la DICOTA la mwaka huu.


Mnamo Jumapili Mei 28, 2018 DICOTA ilipata fursa ya kuhojiwa na kituo cha televisheni ya taifa (TBC) kuzungumzia kongamano la DICOTA la mwaka huu, litakalofavyika mjini Seattle, Washington. Kongamano hilo litazungumzia mchango wa diaspora katika maendeleo ya Tanzania. Karibuni msikikilize



Jisajili nasi kwa kupitia:  www.dicotaus.org/convention
Price: $ 149 -$169
The full conference fee includes access to Keynotes, Breakout Sessions, Marketplace Expo, Networking, Diaspora Bank Services, Real Estate Services, Tax Services, Student Loan Services (HESBL), Passport Services, Job opportunities, Seattle Tours, Live Performances, Meals (Light Breakfast, Lunch & Dinner), and Evening Receptions (Cocktail Reception, Night Gala, Fashion Shows & Kwaheri Dance), Group Exercise with fitness coach & Soccer game. Stay tuned!




No comments: