Advertisements

Sunday, June 3, 2018

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAMOSI 8.Juali 2018 MAMLING,AUSTRIA


Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la Mamling Festival nchini Austria ,onyesho hilo litafanyika siku yajumapilii 8Julai 2018 ,akiongea na vyombo vya habari kiongozi wa bendi hiyo Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja alisema Ngoma Africa band ni mali ya washabiki na ina kazi moja tu nayo kudatisha washabiki katika kila onyesho bila kuremba remba , bendi hiyo iliyojizolea umaarufu na maelfu ya washabiki kila kona duniani
imejiwekea rekodi ya aina yake kuwa ni bendi ya mwanzo ya kiafrika kuimiri vishindo,na kudumu kwa miaka 24 ughaibuni na kufanikiwa kuwanasa washabiki wa kimataifa.
ungana nao at www.ngoma-africa.com
wape hi at www.facebook.com/ngomaafricaband

No comments: