Advertisements

Friday, June 15, 2018

*KARIBU KATIKA IBADA YA SHUKRANI JUMAPILI

Ndugu wapendwa,
Nawataarifu kuwa Jumapili June 17, 2018 dada Margret Luvanda na familia ya Mzee Mtunguja walioachwa na wapendwa wao Enos Luvanda na Abel Mtunguja.

Kwa pamoja, kutakuwa na ibada fupi ya SHUKRANI katika Kanisa la Swahili Lutheran. 1605 Veirs Mill Rd., Rockville, MD 20851.

Ibada itaanza saa tisa mchana na wote mnakaribishwa.

No comments: