Advertisements

Tuesday, June 12, 2018

MSEMAJI W AJESHI LA POLISI AFANYA ZIARA KATIKA STUDIO ZA WANENE ENTERTAINMENT, ZILIZOPO MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

 Msemaji  wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Barnabas Mwakalukwa akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji wa Studio ya Wanene Entertainment Darsh Pandit alipotembelea Studio hiyo iliyopo Mikocheni  jijini Dar es salaam.  Picha na Jeshi la Polisi.
Msemaji  wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Barnabas Mwakalukwa akizungumza na mtayarishaji wa muziki wa Studio ya Wanene Entertainment Goncher, alipotembelea Studio hiyo iliyopo Mikocheni   jijini Dar es salaam.  Picha na Jeshi la Polisi.

No comments: