Ny Ebra akiwa Kuala Lumpur hapa wakipata ukodak na mtoto wake mbele ya maandishi yanayoonyesha jina la chuo anakochukua nondo mtoto wake huyo baada ya kumtembelea na kujionea manzali ya chuo.
Hapa akiongea na mmoja wa wanafunzi wa Kitanzania anaesoma katika chuo hicho. UKODAKI ZAIDI HAPA CHINI
Ny Ebra akitembezwa maeneo ya chuo
Mazungumzo ya baba na mtoto baada ya kuzungukia maeneo ya chuo
Barabara ya train ya juu kwa usafiri wa katikati ya jiji maalufu kwa jina la KTM
Watu mbali mbali wakiwa kwenye viunga vilivyomo katikati ya jiji la Kuala Lumpur
Vikwangua anga vya downtown Kuala Lumpur ni moja ya vivituo vya ndani ya jiji
No comments:
Post a Comment