Advertisements

Thursday, June 14, 2018

SALAAM ZA EID EL FITR KUTOKA KWA JUMUIA YA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC METROPOLITAN AREA (ATC METRO)

Tunawatakia kheri na baraka za Sikukuu ya Eid El Fitr ndugu zetu wote wa Tanzania waliopo hapa DMV, Marekani, Tanzania na Duniani kwa ujumla, pongezi kwa kukamilisha Moja wapo ya Nguzo za Dini ya Kiislam, Mfungo Mtukufu wa Ramadhani, tunawaombea Mola apokee funga zenu, sadaka zenu na matendo yenu yote mema mliyoyafanya kwenye kipindi cha mfungo mtukufu.

Uongozi unaungana nanyi kwenye kusherehea na tunaomba tutumie mfungo wa mwezi wa Ramadhani kuleta amani, furaha, mshikamano na usaidie kuimarisha umoja wetu.

Tunawatakia
EID MUBARAK.

Uongozi ATC- Metro

No comments: