Advertisements

Monday, July 30, 2018

MASAUNI: SERIKALI AITOMVUMILIA ASKARI ATAKAEBAINIKA KULA RUSHWA NA KUBAMBIKIA KESI WANANCHI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na watumishi raia, askari na maafisa (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Sajenti wa Jeshi la Magereza, Athumani Massawo, akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo
Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyaga,Mrakibu Mwandamizi Venance Mwamakula akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao, mkoani Shinyanga, leo
skari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa wananchi.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments: