Advertisements

Sunday, July 1, 2018

NG'ARING'ARI YA HARUSI YA ASYA MWILIMA NA ABDULGHANI


ASYA MWILIMA NA ABDULGHANI wakiwa wenye nyoso sa bashasha mbele ya Ukodak wa Vijimambo siku ya harusi yao. Harusi ya wapendwa awa ilifanyika ndani ya ukumbi wa Astoria World Manor, Queens New York na kuuzuliwa na familia, ndugu na marafiki kutoka maeneo ya miji mbalimbali.
Hapa ni MC Mshereheshaji akifanya yake nyuma ya kipaza sauti kutanabaisha kila kitakachoendelea.


Bi harusi na Bwana harusi wakipata ukodak pamoja na wasabi wao kiroho safi.


Mama wa Bi Harusi kushoto na kulia ni mama wa Bwana Harusi, Ukodaki moment kwa picha said nenda soma zaidi hapa chini.


No comments: