Advertisements

Friday, July 13, 2018

SPIKA NDUGAI AMJULIA HALI MBUNGE WA CHAANI NYUMBANI KWAKE MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

   Spika wa  Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshimiwa Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo.
Spika wa  Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshimiwa Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo. Wa kwanza kushoto  ni Mheshimiwa Machano Othman Said (Mb). PICHA NA BUNGE

No comments: