Advertisements

Sunday, August 19, 2018

PITA PITA YA VIJIMAMBO VIRGINIA BEACH

 Mandhari nzuri ya Virginia beach kama ilivyonaswa na kamera ya Vijimambo, mji huu wenye wakazi wapatao 437,994 ambao wazungu ni 296.670, wamarekani weusi ni 85,935, Latino 28,987 na asilimia nyingine ni watu wengine kutoka sehemu mbalimbali Duniani. Vijimambo Blog.

Mitaa inayopakana na ufukwe wa bahari
 Wadau wajinafasi ufukweni
 Pamoja na jua kuwaka wadau wakiendelea kujinafasi ufukweni

No comments: