Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amempiga Sam Eggington wa uingereza
Na Ripoter Zainabu Ally Khamis
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 amempiga bondia wa uingereza Sam Egginton kwa K.O kwenye round ya 4 kuelekea ya 5 , angalia pambano hili hapa katika clips lililofanyika jumamosi ya 8 Septemba 2018 katika ukumbi Arena Birmingham (formerly Barclaycard Arena / NIA), Birmingham, West Midlands, England
No comments:
Post a Comment