
Tujumuike na Grace Mbowe katika ibada ya misa ya kumbukumbu ya marehemu baba mzazi wa Grace Mbowe itakayofanyika Sept 9, 2018 siku ya Jumapili kuanzia 2:30 alasiri (2:30 pm) katika kanisa la kilutheri Rockville, Maryland anuani ya kanisa ni
1605 Veirs Mill Rd.
Rockville, MD 20851
Utakapo pata taarifa tafadhali mtaarifu na mwenzio
Kwa taarifa zaidi wasiliana na
Eliud (202) 509-1415
Daria Florence (240) 261-3279
Bwana ametoa, Bwana ametwa na jina lake lihimidiwe kwani sisi ni waja wake na kwake tutarejea
No comments:
Post a Comment