ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 16, 2018

TASWIRA YA HITMA YA MZEE MWILIMA OMARI NEW YORK SIKU YA JUMAMOSI


Taswira ya hitma ya Mzee Mwilima iliyofanyika siku ya jumamosi huko Mt Vernon, NY Watanzania ndugu na jamaa wakiongozwa na Balozi na Mwakilishi Mkazi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Mhe. Modest Mero


Mtoto wa marehemu Mzee Mwiliama Katy Mwilima akiongea machache kwenye hitma hiyo mbele ya Watanzania.

Balozi na Mwakilishi Mkazi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Mhe. Modest Mero akiongea macheche mbele ya Watanzania kwenye hitma hiyo. Mh Balozi ni kipenzi cha Watanzania waishio New York kutokana ukarimu wake na pia jinsi anavyoshirikiana nao kwenye matukio yeyote yanayokutanisha Watanzania popote pale. Balozi Mero hawezi kusita kufika na kujumuhika nao.


Sheikh Masoud Maftah akitoa mawaidha kwenye hitma hiyo, Mawaidha ya Sheikh Maftah ni kama dawa tosha huwezi kuchoka kusikiliza. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi 





No comments: