ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 16, 2018

MAMBO YA WAKANDA CELEBRATION YALIKUWA BAMBAMU


 Rose Luangisa ni mama wa Kitanzania anaeendesha maisha yake Marekani aliandaa maonesho ya vitu vya kitamamduni vinavyopatika Tanzania na kuvutia watu wengi kuja kuangalia na kupata nafasi ya kununua uku wakisindikizwa na music, vinywaji na chakula katika viunga vya nyumba yake iliyopo Mt vernon, NY.
Hapa Rose akiwa mbele ya baadhi ya vitu vilivyokuwa kivutio katika maonesho hayo. Vitu kama hivi ni muhimu sana kwani vinaonesha ni jinsi gani nchi yetu ya Tanzania ilivyo na vivutio vya asili kwa wageni na hata Watanzania wenyewe kuvijua ni muhimu sana.
Wageni wakipata ukodak mbele ya vinyago vilivyowekwa mbele kabisha kama sehemu ya kuingilia.



 Hapa ni taswira yavitu hivyo, jitiririshe hapa chini kwa kuingia soma zaidi









No comments: