Uchimbaji wa barabara hiyo inayotoka Kinondoni Mkwajuni nyuma ya Muslim ukiwa unaendelea
Moja ya Greda likiendelea na kazi ya uchimbaji wa barabara wa eneo la Mkwajuni
Hili ni eneo ambalo Usawazishaji wa Barabara unaendelea, ambapo kifusi hicho mbele kinakaribia kuondolewa.
Baadhi ya wahusika wa ujenzi wa barabara hiyo wakiwa wanashauriana jambo wakati kazi inaendelea
Huu ni uzio uliowekwa ili wananchi wapite huko na wasiharibu utaratibu wa ujenzi wa barabara hiyo.
Picha zote na Fredy Njeje.
No comments:
Post a Comment