Matokeo ChanyA+ nchini Tanzania


Mafundi chuma wa mradi wa SGR Kutoka Yap Markenz wakiendelea na kazi katika yard ya Shaurimoyo Jijini Dar es Salaam

Mafundi chuma wa mradi wa SGR Kutoka Yap Markenz wakiendelea na kazi katika yard ya Shaurimoyo Jijini Dar es Salaam.
Moja ya kituo cha Mfano kikiwa katika picha ya mfumo wa 3d na kikionesha namna ya kituo cha Pugu Station kitakavyokuwa.

Mafundi Wakiendelea na Ujenzi wa Madaraja na karavati katika eneo la mradi wa SGR eneo la Lot 1 Kisarawe.
No comments:
Post a Comment