ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2018

WIZARA YA FEDHA YATOA SEMINA KWA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI

Kaimu Kamishna Msaidizi Idara ya Sera na Utafiti Kitengo cha Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bw. Michael Nyagoya akitoa Mada kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma leo Jumamosi Novemba 10, 2018.
Sehemu ya watumishi kutoka Ofisi ya Bunge pamoja na Wabunge wakifuatilia jambo katika Semina iliyotolewa na Wizara ya Fedha na Mipango kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

No comments: