ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 11, 2018

SAKATA LA KOROSHO: WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUPANGA MKAKATI WA UNUNUZI WA ZAO HILO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, baadhi ya watendaji wa Serikali na Wakurugenzi wa mabenki na CBT jijini Dodoma Novemba 10.2018, kujadili maandalizi ya ununuzi wa korosho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: