Advertisements

Sunday, November 11, 2018

NG'ARING'ARI YA NEEMA'S 50TH BIRTHDAY PARTY NEW YORK CITY

 Neema kwenye ubora wake ndani ya miaka 50 uwezi kuamini lakini ndiyo hivyo sura ya upole mama wa familia akipozi nyuma ya mvua 50 za kuzaliwa kwake. Party iliyofanyika New York City usiku wa tarehe 10 ndani ya ukumbi wa Tanzania House na kukaribisha nyomi kiroho safi.


Neema akiingia ukumbini nyuma ni baba mwenye nyumba wake.Neema Birthday Lady akiongea mbele ya wageni ukumbuni hapo.
Mtoto wa Neema akiongea
Mtoto wa Neema akiongea
Baba mwenye nyumba wa Neema.Twiga Ladies wakipata ukodak na birthday lady timu hii ndiyo ilifanikisha shughuri mzima makulaji manywaji na mamuziki mambo yalikuwa konki konki konki master. Taswira zaidi nenda chini kwa kugonga soma zaidi.1 comment:

Unknown said...

Mashallah shughuli ilifana. Hongera Neema