ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 24, 2018

Agizo la Rais Magufuli laanza kutekekelezwa

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (aliyevaa tai), akiongozana na Viongozi wa Jeshi la Polisi kukagua majengo ya polisi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani  Kailima ,akiangalia moja ya mabweni katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Kulia  ni Mkuu wa Chuo hicho, Naibu  Kamishna  Anthony  Rutashugulubukwa, ikiwa  ni  mwanzo  wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni.
 Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Jeshi la Polisi ,Naibu Kamishna  Anthony Rutashugulubukwa, akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(katikati), baada ya  kukagua majengo ya chuo , jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho  wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho  wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki, Naibu Kamishna Leonard Paul.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna Leonard Paul akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi  wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kikao kimefanyika jijini Dar es Salaam.Kushoto  ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments: