Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akizindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akisikiliza taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (Masuala ya Majadiliano ya Sekta ya Umma na Binafsi), Andrew Mhina juu ya ujenzi wa mabwawa ya Samaki kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (Masuala ya Majadiliano ya Sekta ya Umma na Binafsi), Andrew Mhina juu ya ukarabati wa mabanda ya kuku kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji wa Baraza la Taifa la Biashara mara baada ya kuzindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanao shiriki katika Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, mara baada ya kuzindua mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment