TANZIA NYUMBANI TANZANIA NA MAREKANI
Ndugu wanajumuiya kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha kuhusu kifo cha mama mzazi wa wanajumuiya wenzetu Ally Jecha ambaye amefariki leo Zanzibar-Tanzania
Kama desturi yetu ya kufarijiana kwa watakaoweza kufika kwenye address hii
58 Rose ave ,
Jersey city Nj 07305.
Jecha anategemea kusafiri kesho jumatano jioni,pia unaweza wasiliana na Diana 2019207431
Bahia 3476630781
Jecha 2064583421
Kwa watakaoweza kutuma rambirambi zao, wanaweza kutumia Cash app Ali Jecha
2064583421,
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Amina
No comments:
Post a Comment