UPDATES MSIBA WA MZEE LIPAKI(BABA MZAZI WA MWANAMKASY)
Ndugu wanajumuiya kutakuwa na kisoma cha Mzee wetu Lipaki siku ya Jumamosi kuanzia saa tisa Mpaka saa kumi na mbili (3:00PM-6:00PM).
Kisomo kitafanyika kwenye nyumba ya Ubalozi wa Tanzania Mount Vernon
ANUANI YA MAHALI NI:
30 Overhill Road, Mount Vernon,
NY 10552
Pia; kwa watakaoweza kutuma rambirambi zao wanaweza kufanya hivyo kwa kutumia
CASH APP: 347-302-9821
JINA: Duna Salim.
Tunatanguliza Shukrani zetu kwa ushirikiano wenu.
No comments:
Post a Comment