Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwa mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge akiitikia wito wa hutuma zinazomkabili za kulilidhalilisha Bunge, tukio lililofanyika leo tarehe 22 Januari, 2019 katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment