Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis
Mnegero akizungumza na waandishi wa habari hatua yao ya kumtunuku
tunzo ya shukrani Rais John Magufuli kutokana na uamuzi
wake wa kuridhia na kutia saini kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Tanga
Pangani hadi Bagamayo hivi karibuni kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa
UWT Taifa Jesca Mbogo kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa
Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis
Mnegero akizungumza na waandishi wa habari
hatua yao ya kumtunuku tunzo ya shukrani Rais John Magufuli kutokana na
uamuzi
wake wa kuridhia na kutia saini kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Tanga
Pangani hadi Bagamayo hivi karibuni kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UWT
Taifa Jesca Mbogo kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa.
Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Pangani Hamis
Mnegero katikati akimkabidhi tuzo ya shukrani ya Rais John
Magufuli ,Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo kutokana na
uwamuzi wake wa
kuridhia na kutia saini kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Tanga Pangani
hadi Bagamayo hivi karibuni kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu
Abdallah

Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo kushoto akitazama
tuzo aliyotunukiwa Rais Dkt John Magufuli ya Shukrani na Chama
cha Mapinduzi wilaya ya Pangani kutokana na uwamuzi wake wa kuridhia
na kutia saini
kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Tanga Pangani hadi Bagamayo hivi
karibun katikati ni Mwenyekiit wa CCM wilaya ya Pangani Hamisi Mnegero
kulia ni Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah

CHAMA Cha Mapinduzi wilaya ya Pangani kimemtunuku tunzo ya shukrani
Rais John Magufuli kutokana na uwamuzi wake wa kuridhia na kutia saini
kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Tanga Pangani hadi Bagamayo hivi
karibuni .
Akikabidhi tunzo hiyo hapo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Umoja
wa wanawake wa chama hicho UWT Taifa Jesca Mbogo wakati akiwa katika
ziara ya kukagua shughuli za maendeleo wilayani humo
Mwenyekiti CCM wilayani humo Hamis Mnegero alisema kuwa wameamua
kutoa tunzo hiyo kama sehemu ya kurudisha shukrani kwa Rais Magufuli
kutoka na kufanikiwa kutekeleza ndoto ya siku nyingi ya kuwa na
barabara ya kiwango cha lami wilayani humo.
“Tunajua kuna juhudi kubwa ambazo zilikuwa zimechukuliwa na marais
waliotangulia lakini ndoto hizo hazikuweza kutimia lakini kwa juhudi
kubwa za Rais wa awamu ya tani tumeona ujenzi huo sasa unakwenda
kufanyika”alisema Mnegero.
Alisema kuwa barabara hiyo ilikuwa ni kilio cha muda mrefu kwa
wananchi wa wilaya hivyo anaamini kwa kuanza kwa ujenzi huo kutaweza
kufufua matumaini mapya kwa wilaya hiyo.
Kwa upande wake Naibu Katibu mbogo alisema kuwa serikali ya awamu ya
tano inajitahidi kuboresha mazingira bora katika sekta mbalimbali ili
kuhakikisha kila mtanzania anapata fursa ya kupata maendeleo na unafuu
wa maisha.
“Kama mnavyoona utekelezaji wa sera ya elimu bure pamoja na
uboreshwaji wa huduma za afya hii yote ni kuhakikisha mtoto wa
kitanzania anakuwa na afya bora lakini anapata fursa ya elimu
bora”alisema Naibu Katibu huyo. Naibu Katibu Mkuu Mbogo yupo mkoani
Tanga kwa ziara ya siku tatu kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo
inayotekelezwa na serikali pamoja na kuzungumza na wanachama wa UWT
mkoani hapa
No comments:
Post a Comment