
Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi.
Rais Magufuli atuma salamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi kufuatia hukumu iliyotolewa na mahakama ya juu ya nchi hiyo. Pamoja na mambo mengine Rais Magufuli ameahidi kuendeleza historia na udugu baina ya nchi hizo mbili

No comments:
Post a Comment