Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Wafugaji kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara wakiomba dua kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Manyara mjini Babati wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Mkuu wa wilaya ya Babati, Elizabeth Kitundu akizungumza baada ya kupokea maandamano ya wafugaji kwaniaba ya Mkuu wa mkoa wa Manyara.
Wafugaji wa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wakiwa kwenye maandamano ya amani mjini Babati mkoa wa Manyara wakiwa na mifugo ambayo ni zawadi ya Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki za wafugaji nchini.
Mkuu wa wilaya ya Babati, Elizabeth Kitundu(kushoto) akipokea zawadi za mifugo kutoka kwa wafugaji baada ya kupokea maandamano ya amani ya wafugaji kwaniaba ya Mkuu wa mkoa wa Manyara.
No comments:
Post a Comment