RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Wizara ya Elimu alipowasi katika viwanja vya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A'Unguja akiendelea na ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Program Meneja wa Africa Foundation ya Hoteli ya Mnemba Ndg. Mkomeni Erinest Mgono, Taasisi hiyo imejenga majengo ya madara manne kwa ajili ya Skuli ya Sekondari ya Kijini.alipowasili katika viwanja vya majengo ya Skuli hiyo kuweka jiwe la Msingi akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiri kuweka jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kazkiazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake kutewmbelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, 17-2-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kufungua Madaraza ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Wilaya ka Skazini 'A' akishuhudua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kuonesha Ilani ya CCM, wakati ufunguzi wa Madarasa ya Skuli ya Kijini Matemwe Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.17-2-2019.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Malemwe wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa Majengo ya Madarasa ya Skuli ya Sekondari ya Kijini Matemwe leo 17-2-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Kijini na Mbuyu Tende Matemwe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa Mnne ya Skuli ya Seondari ya Kijini yaliojengwa kupitia Kampuni ya And Beyond ya Mnemba Island Lodge Matembe Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment