Advertisements

Wednesday, March 20, 2019

MHE. BALOZI MAKILA JAMES ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WASHINGTON, D.C – 19 MACHI, 2019

Mhe. Balozi Makila James, Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki na Sudan alimtembelea Mhe. Balozi Wilson Masilingi na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza kuimarisha mahusiano kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi rafiki ya Marekani.
 
Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani na Mexico akiwa na Mhe. Balozi Makila James, Naibu Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayesimamia masuala ya Afrika Mashariki na Sudan.

Mhe. Wilson Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marekani na Mexico akiwa na Mhe. Balozi Makila James (Deputy Assistant Secretary of State for East Africa and the Sudans) na Bw. Michael Fraser Msaidizi wake, katika picha ya pamoja na maafisa wa Ubalozi Bw. Dismas Assenga, Brigedia Jenerali Adolph Mutta, Bi. Swahiba Mndeme, Bi. Jean Msabila na Bw. Mugendi Zoka.

No comments: