Kiongozi wa kitengo cha Vijana, Grace Mlingi akiratibu michezo ya watoto (hawapo pichani) kwenye family picnic iliyoandaliwa na uongozi wa Jumuiya ya waTanzania na kamati yake katika kusherehekea uhuru wa Marekani siku ya Alhamisi Julai 4, 2019 Rockville, Maryland pamoja na mvua kunyesha wanaDMV walijitokeza kwa wingi sana wakiwemo watoto
Watotowakichea mcho wa kukimbia na magunia.
Watoto wakicheza mchezo wa kuvutana kwa kamba.
Watoto wakifurahia kucheza ndani ya moon bounce.
Watoto wakicheza mchezo wa kujificha.
Watoto wakicheza mchezo wa kukimbia na yai kwenye kijiko.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment