Wanawake wakifurahia mchezo wa kuruka kamba kwenye family picnic iliyoanzania na Jumuiya ya waTanzania DMV katika kusherehekea Uhuru wa Marekani siku ya Alhamisi July 4, 2019 Rockville, Maryland katika park ya Tilden Woods
Mchezo mwingine uliovuta watu ni mpira wa kikapu.
Mchezo wa kuruka kamba uliwavutia pia wakina baba
Mpira wa babua kati watu wengi walivutika nao.
Mpira wa miguu kati ya Vijana na wazee mechi iliyoisha kwa vijana kuibuka kidedea kwa goli 9-2.
Kamba wakikumbukia enzi hizo za madule mama, seketule.
Soka ya watoto wakifurahia
Wakina mama wakifurahia babua kati
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment