ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 6, 2019

DMV FAMILY PICNIC YAFANA

Makeo akichoma minofu siku Jumuiya yawaTanzania DMV waliposherehekea uhuru wa Marekani siku ya Alhamisi July 4, 2019 Rockville, Maryland.
Jumuiya ya waTanzania DMV wakijumuika pamoja kwenye nyama choma iliyofanyika siku yaAlhamisi July 4, 2019 katika kusherehekea uhuru wa Marekani, nyama choma hiyo ilifanyikia kwenye park ya TildenWoods, Rockville, Maryland.
Nyama ikiendelea kuchomwa.
Wadau wakifurahia ugali mchicha nyama choma na kachumbali.
 Wanajumuiya wakifuahi pamojakatika kusherehekea siku ya uhuru wa Marekani,
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: