ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 6, 2019

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV YAKABIDHI VYETI KWA WANAJUMUIYA WAKE

Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana akikabidhiwa tuzo na makamu wa Rais Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Joha Nyang'anyi.
 Makeo akikabidhiwa cheti cha kujitolea kwa jamii na Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.
 Dedy Luba akikabidhiwa cheti cha kujitolea kwa jamii na Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.
mmoja ya wahitimu wa shule akikabidhiwa cheti cha motisha kutoka kwa Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.
 mmoja ya wahitimu wa shule akikabidhiwa cheti cha motisha kutoka kwa Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.
 Albert Mateso  akikabidhiwa cheti cha kujitolea kwa jamii na Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.
 Dj Dave akikabidhiwa cheti cha kujitolea kwa jamii na Grace Mlingi kiongozi kitengo cha vijana.

No comments: