ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 11, 2019

RAIS MAGUFULI AVINJARI MIJI YA KIHANGA WILAYANI KARAGWE, "APIGA STORI NA ABIRIA WA DALADALA"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa abiria wa daladala hiyo iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati waliposimama katika Kituo hicho cha Daladala kilichopo katika kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mwanafunzi wa Shule ya Sekondary Karagwe ambaye alikuwa akisafiri na daladala hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Abiria wa Daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Abiria wa Daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.(PICHA NA IKULU).

No comments: