ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 9, 2019

TASWIRA YA HITMA YA (MZEE AMIRALY KASSAM) BABA YAKE PENDO/MKE WA AMIRI KIUS


Ustadh Abass akiongoza kisomo cha Mzee Amiraly Kassam aliefariki huko nyumbani Tanzania siku ya June/30, Mzee Kassam ni baba wa  Pendo mwanajumuhiya wa NYCT na Mke wa Amiri Kius. Hitma hiyo iliyofanyika nyumba kwa Amiri Kius New Jersey na kama ilivyo desturi ndugu na marafiki waliudhulia kwa wingi na kuwafariji kwa kuondokewa na mzazi muhimu na kiungo wa familia.

 INNALILLAHI WAINNA ILAYHI RAJUIN WABILLAH TAWFIQ


Dada Pendo alikiwa mwenye majonzi na pembeni yake ni mumewe Amiri Kius akimfariji 

Kwa Picha zaidi nunda chini


No comments: