ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 8, 2019

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK SHEIN AIPOKEA MELI MPYA YA MAFUTA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT.UKOMBO II, Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Shipyard ya Uholanzi.(Picha na Ikulu)

No comments: