Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Wambi mjini Mafinga, Septemba 26, 2019.
Wananchi wakimshangili Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Wambi mjini Mafinga, Septemba 26, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati aliowasili kwenye uwanja wa Wambi mjini Mafinga kuhutubia mkutano wa hadhara, Septemba 26, 2019.
Viongozi wa Dini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa Hadhara kwenye Uwanja wa Wambi mjini Mafinga, Septemba 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment