ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 27, 2019

KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI CP LIBERATUS SABAS AMEZUNGUMZA NA WATENDAJI KATA PAMOJA NA MAAFISA TAARAFA WA WILAYA YA KASULU MKOANI KIGOMA.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas (Wapili kulia) akiongea na askari wa kutuliza ghasia (FFU) katika Kituo cha Polisi cha Kasulu mapema Oktoba 26, 2019 kabla ya kuingia kwenye kikao chake na watendaji Kata na Maafisa Taarafa Wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma. 
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, akikagua kitabu cha kufunfulia mashtaka katika kituo cha Polisi cha Nyarugusu baada ya kutembelea kambi hiyo na kuongea na askari wa kituo hicho. 
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas wa tano kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi pamoja na Watendaji Kata na Maafisa Taarafa baada ya kumalizika kwa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi uliopo kituo cha Polisi Kasulu mkoani Kigoma. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

No comments: