ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 27, 2019

MASAUNI ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KIJIJI CHA CHIKONGO WILAYANI TANDAHIMBA MKOANI MTWARA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akisalimiana na Viongozi wa Wilaya ya Tandahimba baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi ya kukagua utendaji kazi wa idara zilizopo chini ya wizara mkoani Mtwara.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba wakati wa ziara ya kukagua utendaji kazi wa idara zilizopo chini ya wizara mkoani Mtwara.
Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba, Stanley Alphonce akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.
Mwananchi wa Kijiji cha Chikongo wilayani Tandahimba,Hassan Mkeli akimuuliza maswali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(watatu kutoka kulia), wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

No comments: