ANGALIA LIVE NEWS

Friday, October 4, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani Mbozi. PICHA NA IKULU

No comments: