ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 9, 2019

Wizara Ya Afya Yakanusha Tangazo la Ajira 700

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inakanusha Tangazo linalosambaa mitandaoni kuwa imetoa ajira mpya kwa vijana 700 wa Tanzania za uelimishaji namna ya uchangishaji damu na ukusanyaji wa damu vijijini.

No comments: