ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 17, 2019

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AFANYA UKAGUZI WA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (Wa pili kushoto), akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma leo Novemba 16, 2019.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akitoa maelekezo kwa Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, akipokea maelezo kutoka kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza jinsi ujenzi unavyoendelea wakati ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dodoma

No comments: