ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 8, 2019

MAJITAKA MWANZA LAZIMA YATIBIWE ILI KULINDA VYANZO VYA MAJI NA MAZINGIRA

Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa Prof. Hudson Nkotaga akiangalia miundombinu ya kutibu majitaka mkoani Mwanza, lengo likiwa kuhakikisha teknolojia inayotumika ni sahihi na haina madhara katika maji ya ziwa Viktoria. Pichani ni mfumo wa kutibu majitaka wa kiwanda cha Bia Mwanza.
Mfumo wa Kutibu majitaka wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (MWAUWASA), eneo la Sabasaba Mwanza

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela (kati kati) akiwa na wajumbe wa Bodi ya Maji ya Taifa


Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Taifa Prof. Hudson Nkotaga akitoa maelezo kuhusu mfumo wa kutibu majitaka na kulinda vyanzo vya maji nchini.

Wajumbe wa Bodi ya Maji ya Taifa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela.

No comments: